ukatili kwa wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Loading failed

    Nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kufanya matendo ya uhayawani na ukatili kwa wanaume

    Ni kweli wanawake wana huruma ila kuna wakati wanakua katili sana . Je, nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kutimiza vitendo vyao vya kikatili dhidi ya kiumbe cha kiume ( mwanaume) Nb: ili uelewe huu uzi angalia video clip kwa makini sana
  2. Waufukweni

    Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  3. RIGHT MARKER

    Wakati tukiwa tunapambana na "Ukatili wa kijinsia kwa Mwanamke, Tusimsahau na mwanaume

    Mhadhara - 49: ✍️Wakati tukiwa tunapambana na "Ukatili wa kijinsia kwa Mwanamke", tusisahau kuwa wapo baadhi ya wanaume pia wanapitia Ukatili wa Kijinsia. ✍️Kwa kuwa dhana ya ukatili ni pana sana, hivyo hatuwezi kuacha kuamini kwamba hata baadhi ya wanaume ni wahanga wa Ukatili wa kijinsia...
Back
Top Bottom