ukatili kwa watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuwasaidie watoto wanapopata athari za kisaikolojia pale wanapotendewa ukatili

    Watoto ni kundi ambalo haliwezi kujitetea pale linapokutana na ukatili wa aina yoyote, mara nyingi hadi watu wazima wagundue unakuta mtoto kashapa madhara aidha ya kimwili au kisaikolojia. Ni muhimu kutambua kumsaidia mtoto aliyefanyiwa ukatili kisaikolojia ni mchakato unaohitaji tahadhari na...
  2. R

    Mara ya mwisho kumwambia Mwanao unampenda ni lini?

    Salam Wakuu, Katika malezi ni muhimu sana mtoto ajihisi kupendwa na wazazi wake ama na yoyote anayemlea. Ni ngumu kwa mzazi/mlezi kuwapenda watoto wote sawa, lakini ni muhimu kwa watoto wote kujihisi wanapendwa na kujaliwa na wazazi/walezi wao. Mtoto anayepata mapenzi na upendo kutoka wa...
  3. HakiElimu yakemea tukio la ukatili wa Mwalimu Mkuu Kagera, yatoa mapendekezo kwa Serikali

    Mkurugenzi wa HakiElimu, John Kalage amesema tukio la mtoto wa Shule ya Msingi Kakanja, Wilayani Kyera Mkoani Kagera kuchapwa katika njia ambayo ilionekana ni ya kikatili limewasikitisha kwa kiwango kikubwa. Ameeleza tukio hilo lililotekelezwa na Mwalimu Mkuu wa shule husika ambapo picha za...
  4. S

    SoC02 Ukatili kwa watoto wa kike kutoka kwa wazazi wao

    Mimi ni nibinti wa miaka 25 niliye aliwa mkoani Kilimanjaro wilaya ya Hai, ni wa pili katika familia ya bwana Festo familia ambayo ilikuwa na hali duni kiasi kwamba tulikuwa tukipewa mavazi chakula na watu majirani. Kutokana na na mfumo dume wanaotumia wanaume wa kichagga kiukweli baba...
  5. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni aingilia taarifa za Madereva wa School Bus kudaiwa kunajisi Watoto

    Wilaya ya Kinondoni imeanzisha utaratibu wa kuweka Matron katika gari za kubeba wanafunzi, kutokana na kuibuka kwa vitendo vya ubakaji kwa watoto vinavyodaiwa kufanywa na madereva. Mkuu wa Wilaya hiyo, Godwin Gondwe amesema amepokea malalamiko mengi kutoka kwa wazazi na walezi, wakidai watoto...
  6. SoC02 Mkakati wa kupunguza uhalifu kupitia Polisi Jamii

    Jukumu la kupunguza uhalifu na wahalifu ni jukumu la jamii nzima. Mkuu wa Jeshi la polisi aliye maliza muda wake CPF (CHIEF OF POLISI FORCE) marufu kama IGP (INSP GERAL OF POLICE), SIMON NYANKORO SIRRO, ALIPELEKA WAKAGUZI WA SAIDIZI WA POLISI kwa kila kata katika kata zote nchini Tanzania. Ili...
  7. Ni Jukumu la Kila Mmoja Kuhakikisha Watoto Wote Wanaishi Salama Katika Jamii

    Ukatili unaotekelezwa dhidi ya watoto unaweza kuwa wa aina nyingi. Unaweza kuwa wa kimwili, kihisia au kingono. Unaweza kufanyika katika mazingira yoyote kama vile nyumbani, katika jamii, shule na mtandaoni. Ukatili dhidi ya watoto unajumuisha aina zote za ukatili dhidi ya watu walio chini ya...
  8. Huu ukatili kwa watoto sijui hatma yake ni wapi. Nini kifanyike ili kudhibiti hili janga?

    Huu ukatili Kwa watoto ni maumivu makali Sana, nashindwa kuelewa Dunia inaelekea wapi. Nimetulia zangu napewa taarifa ya kusikitisha mno,,,, Baba unapata wapi ujasiri wa kumlawiti mtoto wako wa kumzaa wewe mwenyewe?,,, tena Kwa kushirikiana na rafiki yako. Sijajua ni ushirikina ama ni tamaa za...
  9. Waziri Mkuu Majaliwa kutoa maagizo kwa Mahakama kuhusu mashauri yote ya Watoto, yupo sahihi na itasaidia?

    Kuna hii habari nimeikuta kwenye vuombo vyetu vya habari Nchini, ni kuhusu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa taarifa ya kutoa maagizo kwa vyombo vyenye mamlaka ya kusimamia sheria ikiwemo Mahakama. Unaweza kuisoma habari yenyewe hapo chini, nakubali kweli hoja yake ni nzuri na inaweza kusaidia...
  10. Katavi: Wastani wa Watoto 9 ufanyiwa ukatili kila siku

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amezungumzia kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea katika Mkoa huo, watoto wakiwa sehemu kubwa ya waathirika. Amesema matukio 887 sawa na 65.17% ya matukio 1,361 yaliyoripotiwa kuanzia Januari hadi Machi 2022 yalihusu watoto. Takwimu hizo zimeonesha...
  11. Kibaigwa; Muokoeni mtoto Filemon anayeteswa na mama yake

    Huyu mtoto anaishi na MAMA YAKE MZAZI pale Kibaigwa sehemu inaitwa Mbagala, anasoma chekechea. Mama huyo anamtesa sana mtoto huyo na haambiliki hata kwa mbali mpaka majirani wameamua kuwa wakimya na kubaki kuangalia tu jinsi mtoto huyo anavyoteswa. Wanasema mama huyo ana 'mdomo mchafu' sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…