ukatili mara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mume amng'oa meno mke wake kisa Tsh. 200!

    Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…