ukatili mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Wazazi, mnawalindaje Mabinti wenu dhidi ya Ukatili Mtandaoni?

    Fikiria mtandao kama mji mkubwa wa kidijitali, ambapo kila kona kuna watu, mitaa na maduka ya kila aina. Kama vile wazazi wanavyowaongoza mabinti zao wanapotembea mtaani kwa mara ya kwanza, ndivyo wanavyopaswa kuwaongoza kwenye mji huu wa kidijitali. 1. Kutambua Vitisho: Kama vile...
  2. Lady Whistledown

    Kwa nini wanawake wanashiriki kuwanyanyasa wenzao mtandaoni?

    Wakuu, Huu msemo wa adui wa Mwanamke ni Mwanamke tunaushuhudia sana mtandaoni Yaani Mdada akipost kavaa kakimini kake sjui, mwenzie ndo atakuja kumwambia "Unavaa hivyo na vimiguu kama unacheza Judo"🤣🤣🤣🤣 Hawana huruma hata kidogo. Jamani huu ni unyanyasaji, unaitwa Body Shaming Lakini wengine...
  3. Roving Journalist

    Uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia 2023

    Leo, Novemba 25, 2023 JamiiForums inashiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia yenye kaulimbiu "Wekeza Kuzuia Ukatili wa Kijinsia". Mgeni rasmi ni Dkt. Gwajima D , Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Siku 16...
  4. R

    Huwa unaruhusu mtoto wako kupigwa picha na watu mbalimbali ikiwemo ndugu? Unajua madhara yake?

    Wakuu kwema? Inaweza kutokea ndugu yako akaomba kumpiga picha mtoto wako akisema mtoto amependeza au mtoto wako mzuri picha zitatoka vizuri, wakati mwingine inaweza kuwa hata kwa majirani au watu ambao huwajui kabisa. Dunia imebadilika, huwezi kujua unayemruhusu ampige picha mtoto wako...
Back
Top Bottom