ukatili oman

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Hizi ni Roho hai zinapotea huko Oman na sababu za kupoteza hazijulikani zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika!

    Nikushauri hapa Enyi Serikali hivi vifo visivyoeleweka vya Watanzania wenzetu huko Nje ya Nchi, Muwe mnavifatilia, kila Nafsi ya Mtanzania iwe yenye thamani Basi ikishindikana, tutumie Ujomba na Ushangazi basi. Hizi ni Roho hai zinapotea, na sababu za kupoteza hazijulikani, zaidi ya ndugu...
Back
Top Bottom