Bungeni umesikia kauli ya spika kuhusu hafahamu lolote wala hakuna utekaji kuwa hupo tanzania. hii kauli yake nayo inakuwa sawa na raisi kusema ni drama. huku jeshi la polisi matukio mengi ya utekaji wamekuwa wakikanusha au kupuuzia linapotokea.
Sasa matumbo joto huko wizara ya mambo ya ndani...
Baada ya Kesi iliyomkabili yeye pamoja Meya Mstaafu Boniface Jackob kuahirishwa, hadi Tarehe 04/07/2024, Jeshi la Polisi limemkamata Bwana Malissa na kuanza Safari ya kuelekea Mkoani Kilimanjaro nyumbani kwao kwa Upekuzi., Kesi yao hii ya Uchochezi ilipangwa kuanza leo kwenye Mahakama ya Kisutu...
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki.
Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu , bado haijafahamika siku ambayo watafikishwa Mahakamani.
PIA SOMA
- Kamanda Muliro: Malisa GJ...
Wewe mwana JF mwenzangu utakuwa jaji kwenye hili, je, nani anadanganya?
"Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, lasema lawatuhumu Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati, Godlisen Malisa kwa kusambaza taarifa za uongo"
====
Kuptea kwa Robert Mushi na Maelezo ya...