ukatili school bus

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wafungwa maisha kwa ukatili wa mtoto kwenye school bus

    Kuhusu kesi ya dereva na konda wa school bus kumkatili mtoto wa miaka 6, aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya star light pre and nursery school, Kinondoni, Dar es Salaam, watuhumiwa wote 2 walitiwa hatiani na walifungwa maisha kwa hukumu ya tarehe 22 mei, 2024. Kuhusu tikio hili soma: Mkuu wa...
  2. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni aingilia taarifa za Madereva wa School Bus kudaiwa kunajisi Watoto

    Wilaya ya Kinondoni imeanzisha utaratibu wa kuweka Matron katika gari za kubeba wanafunzi, kutokana na kuibuka kwa vitendo vya ubakaji kwa watoto vinavyodaiwa kufanywa na madereva. Mkuu wa Wilaya hiyo, Godwin Gondwe amesema amepokea malalamiko mengi kutoka kwa wazazi na walezi, wakidai watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…