ukatili tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Si kila tukio ni la watu wasiyojulikana mengine kama la Dodoma yanahusisha wivu wa mapenzi

    Watu watatu wameuawa, huku mama mwenye nyumba akijeruhiwa na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Segubwawani, Kata Nala jijini Dodoma. Waliouawa ni watoto wawili wa familia moja ambao miili yao imekutwa imeungua motor, huku mfanyakazi wa ndani akikutwa na majeraha kichwani. Kaimu Kamanda wa...
  2. Mume amng'oa meno mke wake kisa Tsh. 200!

    Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…