Familia ya kijana aliyedai kupigwa hadi kuvunjwa mguu na askari polisi ndani ya chumba cha mahojiano, wamelitaka Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani mtuhumiwa huyo, ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake.
Kijana huyo, Peter Charles (21), mkazi wa kata ya Daraja Mbili jijini Arusha...