Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda. Na amezaa na huyo Boda mtoto mmoja wa mwisho katika watatu. Jana mwili umesafirishwa kwenda Ukerewe...