📖Mhadhara (61)✍️
MAONI KUHUSU UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO
🔘 Katika kupambana na UKATILI WA KIJINSIA KWA MTOTO, wazazi wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika mapambano hayo, hivyo ni muhimu wazazi na walezi wakumbuke au wakumbushwe majukumu yao ya malezi kwa watoto.
🔘 Siku hizi wazazi na...
Kama mjuavyo sisi wanaume mara nyingi ni kuamka asubuhi na mapema na kuondoka, na kurudi ni usiku, muda ambao Mimi nashinda nyumbani ni Jumamosi na Jumapili.
Usiku wa kuamkia Jana alhamis mtoto wa marehemu dada yangu alianza kulia sana chumbani, akalia sana mpaka ikabidi niamke niende chumbani...
Mungu mwenye nguvu zote unaeona yote ukatende jambo juu ya ukatili huu watoto wanauwawa na kunyofolewa viungo lakini vyombo vya usalama vinashindwa kubaini watuhumiwa isipokuwa tu Kwa mtoto asimwe ambae Raisi Samia alitoa amri wasakwe ndo tukaona nguvu ya polisi.
Tunaomba na hawa wengine mauaji...
Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana?
Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya kunyongwa lakini Kwa uzoefu wa Tanzania Wakuu huwa hawatekelezi hizo adhabu,kumbe badala yake tuanze...
Licha ya Serikali kupambana kupiga vita dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia lakini bado Wananchi na wakaadhi wa Kisiwa cha Mafia baadhi yao wameonekana kutia pamba masikio na kupelekea kuongezeka kwa vitendo hivyo hasa kwa watoto wakiume
Akizungumza kwa hisia kali kwenye mkutano wa hadhara...
Tathmini ya utekelezaji wa mpango kazi wa kwanza wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto inaonyesha jumla ya Sh30.5 bilioni zimetumika katika utekelezaji wa afua za kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto.
2. Hizi fedha zilitumika kufanya kazi zipi na wapi?
3. Hii wizara...
Katika kuadhimisha ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani ambayo inaadhimishwa Oktoba 11 kila Mwaka, Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kusimamia kupunguzwa kwa muda wa kuendesha mashauri ya ukatili dhidi ya Watoto na Wanawake.
Chama hicho kupitia taarifa yao iliyotolewa na Janeth Joel Rithe...
Watoto ni waathiriwa wakubwa wa kazi za kulazimishwa/utumikishwaji katika sehemu nyingi duniani. Utumikishwaji ni hali ambapo watu wanalazimishwa kufanya kazi kinyume na matakwa yao, kwa vitisho vya adhabu, vurugu n.k.
Watoto wako katika hatari ya kutumikishwa kwa sababu mara nyingi hawawezi...
Poleni na harakati za sherehe za mwisho wa mwaka, hongera kwa kufika hatua hii angalau uko hai pamoja na majanga yote yanayopita kuisumbua dunia.
Mada hii naileta nikiwa na rekodi mbalimbali ingawa siyo kwa uhakika wa tarehe na mahala,mimi ni mfuatiliaji mzuri wa vyombo vya habari ambako ndio...
MAKAMANDA wa Polisi nchini wameagizwa kupanga watu sahihi kwenye madawati ya jinsia na kuacha kupanga watendaji wagonjwa na wajawazito ili kupunguza kasi ya ongezeko la matukio ya udhalilishaji wa wanawake na watoto kwenye jamii.
Aidha aliwataka baadhi ya watendaji wa madawati hayo kuacha...
WATU wawili wakazi wa kijiji cha Gwanumpu, Kakonko mkoani Kigoma, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mtoto wa miaka 12 waliyemteka wakidai wapewe Sh. milioni tano na baadaye kuuzika mwili wake ukiwa
---
Waliohukumiwa kwenye kesi hiyo ya mauaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.