ukatili wa wenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunawasaidaje wanawake ambao wanapitia kwenye ukatili lakini hawaelewi kama wanachokipitia ni ukatili?

    Wakuu, Huyu mama ni tukio lililotokea Dec 27, mkoani Arusha ambapo mama huhu akiwa mjamzito alichezea kichapo cha mbwa koko kutoka kwa mume wake, na baada ya haya yote aliomba polisi wamkanye mume wake apunguze kumpiga kwakuwa bado anampenda. Uzi wa tukio hili uko hapa. Nimekutana na video...
  2. Mume amng'oa meno mke wake kisa Tsh. 200!

    Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.
  3. Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

    Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu leo kunyongwa hadi kufa Grace Mushi (25) maarufu kama Neema baada ya kumtia hatiani kwa kumuua mpenzi wake Abdallah Sekamba. Grace alimuua mpenzi wake kwa kumchoma moto hadi kufa kwa kutumia mafuta ya petrol, baada ya kumfungia ndani ya nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…