John Pombe Magufuli ni rais ambaye amesifiwa sana ndani na nje ya nchi kutokana na sera zake za Tanzania kwanza, hapa kazi tu, kupiga vita rushwa, kubana matumizi, kujitegemea, kuziba mianya ya ufujaji pesa, na kuwekeza kwenye miundombinu ya viwanja, barabara, viwanja vya ndege, stand za...