Ilikua ni familia ya watoto watatu, wa kwanza wa kike, wa pili wa kiume na watatu wa kike. Yule mtoto wa kwanza alimaliza darasa la 12 na kupelekwa kwa mama mdogo kujifunza ujuzi. Mume wa mama mdogo ni mbunge na ana biashara nyingi ikiwemo mini supermarket, mgahawa na nyumba ya kulala wageni...