Wanasema tembea uone
Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia
Ukerewe ni Moja ya wilaya za
mkoa wa Mwanza
Ukewe ni kisiwa ndani kisiwa hicho Kuna visiwa vingine zaidi ya 20
Nilitembelea baadhi ya visiwa...
Katika halmashauri nyingi nchini imetolewa mikopo ya asilimia kumi kwa makundi ya wanawake watu wenye ulemavu na vijana. Wapo baadhi ya watu wengine wakishirikiana na baadhi ya viongozi kutoa mikopo kwa watu wasio na sifa stahiki pamoja na uwepo wa udanganyifu. Je, waliopata mikopo hii...
SERIKALI imeanza ujenzi wa hospitali ya rufani katika Kisiwa cha Nansio Wilaya ya Ukerewe kwa lengo la kuwaondolea adha wananchi kuvuka Ziwa Victoria kufuata matibabu ya kibingwa jijini Mwanza.
Akizungumza wakati wa kukagua utekelezaji wa mradi huo katika Kijiji cha Bukindo, Katibu Tawala...
Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,.
Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza??
Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze.
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Kampeni Kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusiana na Umuhimu wa Katiba Mpya, na kuwaamsha wananchi juu ya jukumu la kulinda maliasili za Taifa, zikiwemo Bandari za Tanganyika zilizogawiwa kibwege kwa Waarabu wa Dubai kwa kisingizio dhaifu cha Uwekezaji...
Ukara wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza kuna shirika la umeme (JUMEME) linahusika na huduma ya usambazaji wa umeme wa nguvu ya jua ila kero ipo kwenye bei.
Bei ni Elfu mbili 2000/= kwa kila unit, na namna ya huduma ya kila mteja katika matengenezo yao, kwasababu mita ina tatizo ukimtafuta fundi...
Serikali ya Tanzania inajenga Hospitali mpya ya Rufaa wilayani Ukerewe mkoani Mwanza katika jitihada za kutokomeza vifo vya mama na mtoto vinavyotokea baada ya kukosa huduma za matibabu ya kibingwa.
Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa afya Ummy Mwalimu wakati akikagua eneo la ujenzi huo, akisema...
KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
8/3/2023
NANSIO - UKEREWE
MH Hassani Bomboko Mkuu wa wilaya ya Ukerewe ameshiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani katika Kuhitimisha Wiki ya Mwanamke Wilayani Ukerewe
Akizungumza na wanawake wa wilaya ya Ukerewe Mh Bomboko amewataka Wananchi...
Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku.
Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami.
Picha kukujia punde
Taarifa zinadai kuwa kuna zoezi la ukusanyaji wa kodi ya mifugo linaendelea wilayani Ukerewe. Inadaiwa kuwa Mbuzi na Ng'ombe sasa wanalipiwa kodi. Yaonekana, kuna kodi nyingi zinarudishwa.
Nasema kodi tena kwa sababu tulikuwa na kodi ya kichwa, ikaitwa kodi ya maendeleo baadaye Utawala wa Mkapa ukaifuta. Mifugo pia ililipiwa kodi na kwa wale wakongwe, kulikuwa na kodi ya baiskeli mitaani.
Taarifa niliyorushiwa, kuna zoezi la kodi ya mifugo inaendelea wilayani Ukerewe. Mbuzi na...
Habari za jioni Ndugu zangu,
Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe, pia kama kuna mwenyewe hapa aliyepo kule naomba tuwasiliane, nimesikia kuna fursa nyingi za biashara maana hakuna Huduma nyingi saana mpaka usogee Mwanza kabisa!
28 July 2022
Ukerewe, Mwanza
MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA
Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
KIKAO CHA KUUNDA TANU NYUMBANI KWA HAMZA KIBWANA MWAPACHU NANSIO, UKEREWE 1953
Ilikuwa miezi ya mwanzo ya mwaka wa 1953 kabla ya kufika April, 1953.
Abdul Sykes Act. President na Secretary wa TAA akifuatana na Ali Mwinyi Tambwe Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa...
Hii Ni mila maarufu sana katika kabila la Ukerewe. Mara baada ya mwanamke kufiwa na Mumewe huchukuliwa na jamii kama aliyeingiwa na mikosi na hivyo hustahili hutengwa.
Hivyo ili aweze kuiondoa mikosi hiyo hulazimika kwenda kwa mtaalam ili apate kutakaswa. (Cleansing)
Tendo la kutakaswa...
Kama tulivyowahi kueleza huko nyuma, nguvu ya umma haijawahi kuzuilika kamwe, hii ni kwa sababu binadamu si kama mifugo kwamba unaweza kuiburuza utakavyo.
Bavicha inaendelea na makongamano nchi nzima kama ilivyopangwa .
Hapa ni Ukerewe , 10/10/2021
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Kuna hii tabia ya watu wa mikoani ambapo hakuna ziwa Wala bahari Wana tabia ya kuagiza vitu utadhani vinakwenda kuokotwa tu
Unakuta mtu anakwamba ukirudi kutoka Mwanza naomba uniletee samaki na dagaa kwani wa uko ni watamu Sana
Pengine hata shilingi mia moja...
POST: DEREVA WA MASHUA/VIVUKO DARAJA LA II – 1 POST
POST CATEGORY(S): TRANSPORT AND LOGISTICS
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe
APPLICATION TIMELINE: 2021-05-07 2021-05-19
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
Kufunga na kufungua kamba za mashua/kivuko
Kuchunga usalama wa abiria...
Mheshimiwa Rais utakapoanza kudhuru kwa wakuu wa wilaya usimsahau mkuu wa wilaya ya ukerewe Bw. Lucas magembe
Mkuu huyu wa wilaya tangu apangiwe majukumu yake katika wilaya ya ukerewe amekuwa ni mtu mwenye migogoro isiyo isha baina yake na wananchi na viongozi wa dini.
Tangu kuripoti kwake...