ukerewe

  1. Mkuu wa Wilaya Ukerewe huwatendei haki Wananchi na humwakilishi Rais vizuri

    Wakuu wa Wilaya hujinasibu kumwakilisha rais lakini baadhi ya watu hawa ni balaa. Nimesimuliwa anayoyafanya mkuu wa wilaya ya Ukerewe, yanasikitisha. Tangu Mkuu huyu wa Wilaya amepelekwa wilayani, Migogoro haiishi. Mgogogro na kanisa katoliki juu ya ardhi, migogoro na wavuvi na matumizi ya nguvu...
  2. Kwa faida ya wengi, Tundu Lissu aandike kitabu kuhusu harakati na changamoto anazopitia katika Uchaguzi huu

    Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu. Lissu amerudisha hamasa katika siasa za...
  3. Meli mpya kwa ajili ya Ukerewe yakamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka, imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Octoba 2020

    CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE kupata ajali. Leo imekamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300. Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia. Kama ilani ya...
  4. Q

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

    Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba! Haturudi nyuma! [CENTER] [/CENTER]
  5. Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Majimbo ya Ukerewe na Rorya

    Ikiwa Kampeni zimeshika kasi yule Mgombea ambaye nyota yake inang'ara Mh Tundu Lissu , leo anaendelea na kampeni kwenye Majimbo ya kanda ya ziwa ya Ukerewe na Rorya. Kama kawaida yetu tuko hewani kukuletea kila kinachojiri kwenye mikutano hiyo . Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za...
  6. M

    VIDEO: Ukerewe kumenoga

  7. J

    Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Robert Boaz na DPP Biswalo Mganga, wamewasili kwenye Kisiwa cha Ukara, Ukerewe, kwa lengo la kufanya uchunguzi ili kuwabaini wanaotenda uhalifu uliopelekea mauaji ya watu wawili kisiwani hapo na kufanya wananchi kuishi kwa hofu. Hatua hiyo imekuja...
  8. CHADEMA yawasha moto Ukerewe

    Ikumbukwe kwamba hili eneo ni moja kati ya ngome imara mno ya Chadema kanda ya ziwa .
  9. M

    Kijue kisiwa cha Ukerewe kwa undani. Kisiwa cha kifahari kilichopo pembezoni mwa jiji la Mwanza

    Salaam kwenu wote wana jamvi Haya ni mambo machache kuhusu wilaya/kisiwa cha Ukerewe. Maelezo mafupi UKEREWE ni moja wapo ya wilaya zinazounda mkoa wa Mwanza. Pia ni miongoni mwa wilaya za mwanzo mwanzo (kongwe) kuanzishwa nchini Tanzania. Wilaya ya Ukerewe ina ukubwa wa eneo wa kilometa za...
  10. TANZIA Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed akutwa hotelini akiwa ameaga dunia

    Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya hoteli. Afande Masoud alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa usomaji wa Quran. Taarifa zaidi kutoka Jeshi la Polisi zitakujia. ====== OCCID wa Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza,Masoud...
  11. Uchaguzi 2020 Harakati za uchaguzi mkuu 2020 majimboni, Ukerewe, Mwanza

    Habari wana bodi, Baada ya makala kadhaa za harakati za viongozi na vigogo katika awamu hii ya 5 jimboni Iramba leo macho yangu nayaelekeza Jimboni Ukerewe, hili n jimbo toka mkoa wa Mwanza, ni miongoni mwa visiwa vinavyounda mkoa wa Mwanza. Ukerewe pamekuwa na mageuzi makubwa kisiasa kwa kuwa...
  12. Z

    Waziri Mpina: Operation Sangara imeongeza tatizo la rushwa Kanda ya Ziwa

    Kuna kiongozi wa CHADEMA amewahi kusema bungeni juu ya mwenendo wa kushughulikia mambo ya wizara ya uvuvi kwa operations. Pamoja na waziri Mpina kuitetea wizara yake, kumbukumbu yangu inaonesha hakuna operation ambayo imewahi kufanikiwa bila matatizo kwa wananchi, bahati mbaya wanaoendesha...
  13. J

    Inachofanya CCM ni kukomboa Majimbo yake yaliyokwenda Upinzani 2015 lakini Wapinzani bado wanamiliki majimbo yao kasoro lile la Ukerewe

    Habari njema kwa upinzani ni kwamba Majimbo yote yaliyorudi CCM kupitia chaguzi ndogo awali yalikuwa chini ya CCM kabla hayajazolewa na mafuriko ya Laigwanan Edward Lowassa. Kilichofanyika hadi sasa ni CCM kuyakomboa majimbo yake na kujipatia nyongeza ya jimbo la Ukerewe. Kule Singida...
  14. Ukerewe yalalamikia bei kubwa ya umeme, wananchi wanalipa 2,500 kwa unit 1 ya umeme

    Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani ametoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kuhakikisha anafuatilia gharama za umeme zinazotozwa kwa wananchi wa kisiwa cha Ukerewe mkoani humo. Imeelezwa leo bungeni kuwa Watumiaji wa umeme katika Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa...
  15. Baada ya ajali ya MV Nyerere kuua watu wengi, mila ya kutakasana yashika kasi Ukerewe

    Tukiwa bado na majonzi ya kuondokewa na wapendwa, ndugu,jamaa na marafiki kwenye ajali mbaya ambayo iliangamiza nguvu kazi kubwa ya taifa. Huko wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza,sasa hivi kubwa linaloendelea kwa mila na tamaduni za wakara kwa tukio lile ni "Kutakasana " maana yake kuondoa mkosi...
  16. Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKARA wilayani Ukerewe. Wakazi wa Ukerewe wakiwa mita chache kutoka kivuko kilipozama ==== Taarifa Kwa Umma Kutoka Wakala wa Ufundi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…