Nipo Arusha na nimeshuhudia watumishi wa umma waliokuja Arusha wanavyofanya matusi. Asilimia kubwa wapo wawili wawili jambo ambalo ni kiashiria cha ukiukwaji wa viapo vya ndoa.
Tumeona namna mwezi huu wa Kwaresma na Ramadhani ulivyogeuzwa mwezi wa matumizi na kula Bata. Ibada zimewekwa pembeni...