Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete,
Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama vile wachina? Hali hii imefikia hatua ya kutisha ambapo vijana wa Kitanzania wananyanyaswa na kuzidi...
Ni jambo la kusikitisha kwamba mahakama ya Mwanzo Ilala haina njia mbadala ya kufanya shughuli zanazotegemea umeme kuendelea kama kawaida pale umeme unapokatika. Kuna watu waliahidiwa kufuata nakala za hukumu ila wameshindwa kupata kwa kuwa umeme hakuna. Kinachokera zaidi kituo cha polisi...
Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan Uingereza na ligi ya mabingwa wa ulaya, wamefanya tena wizi wao dhidi ya walala hoi wa Tanganyika na Zenj...
Chombo maarufu cha habari kuhusu nishati mpya Cleantechnica hivi karibuni kilisema “sekta ya magari ya umeme ya China inayoendelea kwa kasi inaleta athari kubwa kwa Afrika na kukuza mageuzi ya nishati ya kijani."
Jijini Nairobi, Kenya, ukienda kwenye uwanja wa ndege, huenda unaweza kutumia...
Kiukweli nasikitishwa na huduma za kibenki kwa ujumla, kwa bank za hapa TZ.
Unaweza kwenda bank na shida ndogo na ya kawaida ila mlolongo unakua mrefu usio na maana wala tija yoyote.
Nilikua na shida ya majina kwenye kadi yangu ya nmb, majina yalichanganywa la kati na la mwisho hivyo ishu...
Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa yanachelewa au yanaenda Taratibu.
NARUDIA!
"Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa...
Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna malori (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi kufikia siku nne, madereva hao wamedai kulala na kula kwenye magari yao na kuomba kujisadia katika...
Ukiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa;
Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa!
Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama...
Wakuu Umuofia,
Kama heading inavyojieleza hapo juu napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa yeyote anaehusika nimewasili katika hospitali hii ya wilaya kwa minajili ya kumtibia mke wangu lakini cha ajabu ni kwamba ni zaidi ya saa mbili sasa hakuna huduma yoyote niliyopatiwa zaidi ya kukabidhiwa...
Kauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia.
Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Habari ndugu wajumbe?
Mkurugenzi wa jiji la Mwanza amekuwa ni kikwazo kuweza kupitisha malipo ya watumishi wa umma wa jiji la mwanza.
Katika kufuatilia suala la malipo haya nilikuwa najua kuwa kikwazo ni wahasibu lakini ndugu zangu wajumbe Mkurugenzi huyu ni kikwazo sana maana hataki kusaini...