Habari wana forum, kumekuwa na complain nyingi sana namna security wa mgodi wa Geita GGM wanavyokiuka haki za msingi za wafanyakazi.
Security wamepewa mamlaka makubwa mno na maamuzi yasiyochunguzwa wala kuulizwa na mamlaka nyingine. Imefikia wakati security anaweza kumkataa mfanyakazi na...
Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo.
Mradi huo wa dola...
benki
benki ya dunia
binadamu
dunia
fedha
habari
haki
haki za binadamu
mauaji
mdomo
nani
sekta
sekta ya utalii
tanzania
tuhuma
ufadhili
ukiukaji
utalii
vyombo
yasitisha
Timu ya Everton imekatwa pointi 10 katika Ligi Kuu ya England (Premier League) kwa kosa la kukiuka Kanuni ya Fedha (Faida na Uendelevu), hali ambayo ilitokea katika Msimu wa 2021/22.
Baada ya kutangazwa kwa adhabu hiyo, uongozi wa Klabu ya Everton umesema utakata rufaa kwa kuwa adhabu hiyo...
Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.
Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa...
Kila siku CAG anakuja na report kuhusu upotevu wa mabilioni kwenye secta ya umma lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Wakati CAG akija na hoja hizo mara nyingi PCCB hakuna sehemu anakuja na hoja zakuthibitisha huo wizi badala yake kesi nyingi uisha Kwa matumizi mabaya ya Ofisi.
Mtizamo wangu NI...
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohamed Chande Othman atakuwa Mwenyekiti wa Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu nchini Ethiopia ambayo itafanya kazi chini ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa.
Tume hiyo ya Watu 3 imepewa Mamlaka ya kuchunguza madai ya Ukiukaji wa Haki za...
Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi.
Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa Xinjiang.
Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanaishutumu Beijing kwa dhuluma dhidi ya Wauyghur...
Wadau,
Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa.
Kwa mujibu wa katiba iliyopo bunge lazima liwe na Kambi Rasmi ya Upinzani, Mkuu wa Kambi, Mnadhimu Mkuu na Mawaziri Vivuli.
Tumeshuhudia Bunge lililopo halina Kambi Rasmi ya Upinzani
Halina Mnadhimu Mkuu
Halina Mawaziri Vivuli
Halina...
Tunaendelea.....
Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu.
Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo...
RAIS WANGU SAMIA, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA ANIOMBE RADHI HADHARANI.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi,
Awali ya yote naomba nikupe Pole na hongera kwa majukumu mazito unayoendelea kutufanyia kwa weledi na mafanikio makubwa sisi wananchi wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.