Mbunge Luhaga Mpina amethibitisha mbele ya waandishi wa. habari kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria katika uagizaji Sukari nje ya nchi, wakati Taifa letu lilipokumbwa na uhaba mkubwa wa Sukari, miezi michache iliyopita.
Akiongea mbele ya waandishi wa habari, alisema kuwa ana uthibitisho...