Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amejitosa kuzungumzia sakata la barua ya malalamiko kuhusu uteuzi alioufanya wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu akisema haina mashiko yoyote.
Barua hiyo ni ya kada wake, Lembrus Mchome, aliyoiandika kwenda...