Je! Waislamu walikoloniza Afrika kwa njia ile ile ambayo nguvu za Magharibi zilipokoloniza Afrika, inamaanisha kweli? Uislamu ulienea Kaskazini mwa Afrika, Afrika Mashariki, na Afrika Magharibi kwa kiasi kikubwa kupitia biashara na mwingiliano, na hilo lilipelekea kuundwa kwa falme za wenyeji...
Ni wazi wanachadema wamezinduka na kustukia dhamira na nia zenye mashaka dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wake wa kitaifa.
Kauli ya muwakilishi wa wazee wakati wa kuwasilishwa ujumbe wa wenyeviti wa mikoa wa chadema kumuomba na kumshinikiza chairman Mbowe kugombea uenyekiti wa chadema Taifa...
Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu.
Tuwe na mwisho mwema.
Hili suala la uhuru kiukweli mimi sioni kama ni uhuru wenye haki na kufuatwa kwa misingi ya katiba kama inavyoagiza.
Kama haitoshi...
Akiitwa Mjapan utasikia Mashayoshi Ohira.
Akiitwa mchina utasikia Nie Hon Hun.
Akiitwa mzungu utasikia John, Michael nk.
Akiitwa mmanga utasikia Mohamed bin Suleiman.
Akiitwa gacholi utasikia Kanji Mahendra.
Akiitwa mswahili utasikia John Mohamed Michael nk.
Je waswahili tutajitambua na...
Kwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae.
Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa ‘Agreement for the continuation of colonialism’ kabla hajawapa ‘uhuru feki’?
Msingi wa mkataba huu ni...
Swali la kwa nini Afrika, licha ya kuwa na rasilimali nyingi, imeendelea kuwa na maendeleo duni, ni suala la kihistoria lenye mizizi mirefu. Watu wengi huashiria ukoloni kama sababu kuu, lakini ukweli unaonyesha kuwa hali hii inatokana na sababu nyingi, zikiwemo jiografia, ukoloni, matatizo ya...
Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe.
Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta rasilimali na maeneo ya kutawala kote duniani. Walivuka bahari na kufika mabara mbalimbali, wakifanya...
Ajira uwapa watu pesa ya kula
Kujenga mtu mpaka akope
Ajira iko well calculated ili kuua akili ya waajiriwa wasiwaze nje ya box
Ukitaka kujua ajira utapeli mtu anayelipwa 1.2 million per month pesa anayopeleka nyumbani ni laki 7 baada ya makato yote huu ni ukoloni mambo leo .
Ajira haikupi...
Namuunga mkono mama Samia katika kufungua uchumi na kuingiza mitaji ya kibiashara pzmoja na kuruhusu uwekezaji kutoka nje na ndani ya nchi.
Lakini mimi si chawa, na kila hatua mbele lazama iwe na tafskuri ya mustakabali wa yale watanzania tunayotegemea miska ya mbeleni.
Wazungu, waarabu si...
Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa wakoloni katika bara la Afrika sisi tulikuwa wamoja kwa kushirikiana katika kila kitu kilicho husiana na Ubuntu wetu kwa kutokuwekeana mipaka katika bara letu. Kwa mfano wangoni chimbuko lao ni South Africa lakini walihama kutoka katika nchi yao kuja mpaka...
Athari za ukoloni na dini mpya kwa jamii ya Kiafrika zilikuwa nyingi na zenye mchanganyiko wa matokeo chanya na hasi. Hapa kuna baadhi ya athari kuu:
1. Mabadiliko ya Kijamii na Kiutamaduni
.Kupoteza Utamaduni wa Asili: Wakoloni walileta mifumo yao ya utawala, sheria, na mila, ambayo...
Ukoloni mamboleo ni mfumo wa kidunia ambapo nchi zilizostawi zinadhibiti na kunyonya rasilimali za nchi zinazoendelea kwa njia zisizo za moja kwa moja, ikiwemo kupitia mikataba ya kiuchumi, msaada wa kifedha, na ushawishi wa kisiasa na kitamaduni. Tanzania, kama nchi nyingine za Afrika...
Unakubaliana na huyu mdau kwa kiasi gani.
Erik Prince has been many things in his 54 years on Earth: the wealthy heir to an auto supply company; a Navy SEAL; the founder of the mercenary firm Blackwater, which conducted a notorious 2007 massacre in the middle of Baghdad; the brother of Betsy...
Kama si Wakoloni, huenda Tanganyika kwa sasa ingekuwa ni nchi ndogo sana au kubwa sana kuliko ilivyo sasa.
Isingelikuwa Wakoloni, huenda Arusha na Kilimanjaro zingekuwa nchi zinazojitegemea!
Isingelikuwa ukoloni, huenda Rwanda na Burundi zingekuwa nchi moja au zingekuwa moja ya mikoa ya...
point yangu sio kutegemea uje kutunzwa na watoto, ni kwamba ukizeeka muda mwingi watoto wako watakuwa karibu na mama yao kuanzia kumjulia hali, kumsaidia, kumpa faraja na hata kwenye simu unakuta watoto wanampigia sana mama yao, mtoto anakuwa bado anakuheshimu kama baba lakini shida ni kwamba...
Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT
Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya.
Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa...
Huwa kuna mijadala mingi mitandaoni kuhusu huduma za kinga na tiba tunazopewa na wazungu. Wapo wanaosema kuwa kuendelea kupewa misaada ya chanjo na baadhi ya tiba ni moja ya njia inayotumiwa na wazungu kupunguza kasi ya watu weusi kuzaliana. Nimefuatilia makala iliyorushwa na Dw inayoonesha ni...
Siku chache baada ya The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” kuandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni, Esther...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.