Marekani imekuwa, na inaendelea kuwa, nguvu kuu inayotawala siasa za kimataifa kwa mkono wa chuma uliofunikwa kwa glavu ya hariri. Hakuna taifa linalojiita huru lakini likakubali kuwa na mahusiano mazuri na Marekani bila kutoa kafara misingi yake ya uhuru. Ikiwa nchi yako haipingani na Marekani...
Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani...
Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu...
Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake.
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
Ukoloni mamboleo ni mfumo wa kidunia ambapo nchi zilizostawi zinadhibiti na kunyonya rasilimali za nchi zinazoendelea kwa njia zisizo za moja kwa moja, ikiwemo kupitia mikataba ya kiuchumi, msaada wa kifedha, na ushawishi wa kisiasa na kitamaduni. Tanzania, kama nchi nyingine za Afrika...
Unakubaliana na huyu mdau kwa kiasi gani.
Erik Prince has been many things in his 54 years on Earth: the wealthy heir to an auto supply company; a Navy SEAL; the founder of the mercenary firm Blackwater, which conducted a notorious 2007 massacre in the middle of Baghdad; the brother of Betsy...
Ni wakati sasa tuanze kufikiria namna ya kucheza na siasa zetu.
Je Chama cha siasa kama chadema na wafuasi wake wasiozidi Milioni 30 Tanzania wanaweza kupambana na Ukoloni Mambo leo wakashinda?
Nitafafanua kwa kutoa mifano iliyojengeka kwenye dhana zifuatazo.
1. Chama dola chama cha mapinduzi...
Serikali ya kijeshi nchini Mali imemshutumu Rais Emmanuel Macron kwa tabia ya "ukoloni mamboleo na udhalilishaji" na kumtaka aache ukosoaji wake kwa Jeshi la nchi hiyo na kuchochea chuki ya kikabila
Hii ni kufuatia matamshi ya Rais Macron wiki iliyopita wakati wa ziara yake Afrika Magharibi...
Habari zenu wana JF. Moja kwa moja kwenye mada;
Kulingana na maono yangu kuhusiana na suala la maendeleo katika jamii ya watu wa Tanzania, naona asilimia kubwa ya watu wamesahau kitu ambacho waasisi wetu wa taifa walikua wamekiacha kama kifaa cha kuleta maendeleo. Mnamo mwaka 1967 kulikuwa na...
JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE
Habari ndugu zangu wa JamiiForums,
Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
ELIMU YETU NDIYO MSINGI WA UKOLONI MAMBO LEO.
Na Elius Ndabila
0768239284
Msingi mkubwa wa Maendeleo Duniani kote ni elimu. Hapa tunazungumzia elimu rasimi na isiyo rasimi mhimu ni ile elimu inayosaidia kumuondolea mtu mwamvuri wa ujinga na kumjengea uwezo wa kutazama mambo kwa mawanda mapana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.