Na Thadei Ole Mushi
Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe.
Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi tumeitoa kwa Mzungu, Uwanja wa ndege wa KIA nao tumeutoa, TPDC tumeitoa, Bandari...