Salaam wakuu,
Nina hadithi ya kweli ningependa ku share nanyi. Ni kitu nimekishuhudia kwa macho yangu na kimetokea kuniumiza sana roho !!! Sumtyms huwa nikiwaza nakosaga na majibu kabsa. Ule usemi " Sio kila king'aacho ni dhahabu " ni ukweli kabisa na nime prove kwamba wakat mwngne kwenye...