Nayasema haya nikiwa na simanzi moyoni hasa nikiwa katika wakati ambao mbili haisomi moja haisomi.
Hii naomba iwafikie wagonga ulimbo wote asee kama bado kula yako tu ni ya kuunga unga kama ngedere mapenzi yaepuke ikibidi uyakimbie kwa sauti ya nyanda kabudi mzee wa ogopaaaaaaa
Amesema...
Ifike mahali tuwaache wapasuane wavuane nguo hawa ni genge la wahuni,
Genge la watu wasio na busara je hii vita ya maneno ni uenyekiti tu au kuna jengine limejificha,
Lissu yupo kwenye koma ya hasira ameamua kurusha kila silaha bila staha lissu hana tofauti na slaa ile siku ya hotuba yake serena...
Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke.
Hapo Sasa ndo ataanza kushituka.
Ukweli ni kwamba mwanamke anayeweza kumeza vidoge(dawa) Ili au kiumbe kilicho ndani ya tumbo lake mwenyewe ni wakugopwa...
Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za...
Kwani watu ombaomba na wanafki ila huyu doto magari amezidi.
Huyu jamaa akishajua upo vizuri kipesa basi tegemea kila utakapokutana naye lazima akuombee hela usipompa tu kosa, lazima akakutangaze vibaya kwa watu.
Miongoni mwa watu wasiomkubali huyu jamaa ni Marioo, Dj Ally Bi, Diamond Platnumz...
Katika suala la kukodisha bandari zetu tujifunze kitu kimoja kikubwa. Kwamba taaluma ya sheria inapotumiwa na mafisadi ni hatari kama ukoma kwenye jamii.
Siku moja tu imepita tumewasikia wanasheria wizara ya ujenzi na uchukuzi wakiwa na waziri wao wakijaribu kutetea uamuzi wa serikali kutaka...
Nimekuwa nikimsikia Slaa kila mara akimsema yeyote anayempinga kuhusu upotoshaji wake eti siyo size yake. Majuzi tu alimwambia rostam Aziz eti siyo size yake na Leo kamwambia Feleshi eti siyo size yake na ikumbukwe aneshamwambia Nape eti siyo size yake na kuna siku alimwambia Zitto eti siyo size...
Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa.
IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni...
Wakati taifa likihangaika na matatizo ya hapa na pale, serikali imemua kutumia baadhi ya wapiga propaganda/chawa wake kusema uongo.
Ikumbukwe Msukuma ni kati ya wabunge waliyokuwa upande wa JPM na hata baada ya kufa walitumia nguvu nyingi sana kumtetea.
CCM iliona hilo na kujua huyu bwana...
Yaani mji mzima umejaa wakoma na upofu, halafu haya ndio makao makuu ya nchi.
Hii taswira inafikirisha sana, sijui kwanini walichagua mahali penye laana ya ukoma na upofu ndio pawe makao makuu ya nchi?
Matokeo yake uchumi wetu una ukoma, soka letu lina ukoma, maendeleo yetu yana ukoma, miradi...
Wana njaa sana na wao pesa mbele.
Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu.
Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
Rafiki yangu mpendwa,
Hivi unajua ya kwamba umasikini huwa unaambukizwa kama magonjwa yanayoambukizwa?
Ndiyo, hiyo ni kweli kabisa, pale unapokaa na masikini, wanakusababisha uendelee kubaki kwenye umasikini.
Huenda kwa kusoma sentensi hizo chache umejisikia vibaya, umenichukulia mbaguzi na...
Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani.
Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo.
Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF Zimbabwe, RPF Rwanda au NRM Uganda. Bila usawa na haki hawana madaraka.
Kwa sababu hiyo safari ya...
Wakuu habari za majukumu?
Wanaume wenzangu huwa inatokea sana kwenye mahusiano kuambiwa na mwanamke uliyenae katika mahusiano "kaka yako kanitongoza" au "rafiki yako ananitongoza", kwa kweli nimejifunza mengi kutoka kwa hili na ninaongea nina uhakika.
Wanawake wana tabia ya ku manipulate akili...
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi
Na Englibert Kayombo WAMJW - Dodoma
Serikali ya Tanzania imeazimia kutokomeza kabisa ugonjwa wa kifua kikuu kwa kuongeza uwezo wa ugunduzi wa wagonjwa wapya wa kifua kikuu na kuwaweka kwenye matibabu.
Kauli hiyo imetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.