kwa yanayoendelea sasa ndani ya chadema kuna ombwe la uongozi na kutokuwepo kwa nidhamu, ustahimilivu na kuheshimiana. uchaguzi wa kidemokrasia huwa una sura ya ustaarabu. vyama vidogo visivyokuwa na succession plan ndiyo tatizo lake. Chama kilichotegemewa na wananchi kinaporomoka kama uyoga
Nilikuwa nafuatilia kwa ufupi baadhi ya viongozi na umri wao wa kuanza kubeba majukumu ya kitaifa nikagundua walikuwa na umri mkubwa.
Kwa mfano: Juliasi. K. Nyerere alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 12. Na woote viongozi wa kizazi chake walianza shule kwa umri huo.
Rashid Kawawa...
Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana.
Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana kuwa Imara na kwamba they are Unprovocable for Little things kama Maandamano. Na Jeshi lilishinda...
Nimeamua kuandika kuhusu kuwepo na watu wawili viongozi wakuu wa chama kuonyesha nia kutaka kuwa wagombea urais kupitia chadema. Mimi hili jambo naliona kwa jicho la pili yaani chama kukua, pia kuwa na watu wenye ushawishi ndani na nje ya nchi.
Ili jambo linapaswa kupongezwa na sio kutiwa...
Utangulizi
Tanzania kama zilivyo nchi za Jumuiya ya Madola zina mfumo wa uwakilishi wa wananchi unaofanana kwa asilimia kubwa. Hata kanuni, miongozo na sheria zinazotumika kwenye mabunge ya nchi hizi zinafanana. Ni mfumo wa miaka mingi ambao chanzo chake ni tawala za kifalme za nchi ya...
Imekuwa kawaida sana kwa nchi nyingi barani Afrika na hata duniani kujaribu kupinga ndoa za mapema na Tanzania ikiwemo. Kigezo kikubwa kimekuwa kitajwa kuwa umri kati ya muoaji na muolewaji.
Baada ya tathmini fupi nimekuja kugundua kuwa suala la malezi lina nafasi kubwa katika ndoa kuliko umri...
Habarini nyote.
Kwa uchache kabisa niseme ya kwamba awaye yeyote mwenye chuki kisa tu uduni wake kwenye maarifa, kukosa akili pevu na madhubuti, pamoja kukosa ukomavu wa fikra kwa taswira pana huwa ni kichekesho.
Ukipewa dhamana fanya utofauti katika namna chanya na iliyobora na kwa kujikita...
Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa na kipekee sana wahafidhina ndani ya Serikali na chama Tawala ambao wanajaribu kukwamisha au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.