Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.
Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.
Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana...
Hiki ndicho ninachokiona Mimi na ukikaa peke yako ukatafakari hili BANDIKO utakubaliana na Mimi Hawa vijana wametuzid sana sisi tuliozaliwa Mika ya 89 kurudi nyuma wengi wetu vichwa vyetu havina kitu zaid ya kuwa machawa kama akina mwijaku, baba levo na doto magari Hawa wote wamezaliwa Miaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.