DHAMIRA ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kutaka kumaliza matumizi ya kupikia Kuni na mkaa, inaonyesha wazi haitafanikiwa kwa muda waliojipa wa hadi kufikia mwaka 2032 iwapo hawatabadilisha mbinu wanazotumia.
Dhamira hiyo ya serikali iliwekwa wazi na Rais Samia Suluhu Hassan, mwaka Jana, jijini...