Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imesema imepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wateja kuhusu vikomo vya malipo na miamala kwa akaunti za M-Pesa.
Kupitia taarifa yake kwa Umma, kampuni hii imetoa taarifa kuwa M-Pesa Limited inafanya kazi chini ya leseni kutoka Benki Kuu ya Tanzania...