Tundu Lissu, akizungumza kupitia mtandao wa kijamii wa Clubhouse mnamo Desemba 23, 2024, alieleza kuwa endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ataweka ukomo wa ubunge wa viti maalum. Lissu alisema hatua hiyo inalenga kuhakikisha wanawake wengi wanaokipigania chama wanapata fursa ya uwakilishi...