ukomo wa madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Pre GE2025 Wanawake na Uongozi 2025

    Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015. Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya...
  2. Pre GE2025 Mwenyekiti CHAUMMA apandisha sukari baada ya kuulizwa kuhusu ukomo wa madaraka, amtaka Charles William agombee Uenyekiti

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amemtaka mtangazaji kuchukua fomu na kugombea katika uchaguzi ujao wa chama hicho kama anaona kwamba mwenyekiti wa sasa amekaa muda mrefu madarakani Soma pia: CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao "Chama tumekiasisi...
  3. Ukomo wa madaraka CHADEMA ulizuia chama kukua. Sasa kimekua na kinahitaji ukomo wa madaraka

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakati anajiunga na chama hicho kulikuwa na ukomo wa miaka 10 kwa kiongozi kukaa madarakani, hivyo kukawa na ukosefu wa watu wenye uzoefu wa kuwaongoza wengine. Ila kwa sasa chama kimekua na kinahitaji mabadiliko kwenye ukomo wa madaraka kwenye...
  4. Mbowe kupendekeza uongozi ukae miaka mitatu madarakani, kisha Uchaguzi unafanyika

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atafanikiwa kushinda uongozi wa juu wa chama hicho, atapeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu ili uchaguzi wa ndani uwe unafanyika kila baada ya miaka mitatu badala ya mitano. Mbowe, anayetetea nafasi hiyo aliyoiongoza kwa miaka 21, amesema...
  5. Tafakuri: Sera ya ukomo wa madaraka itapiga spana na kuathiri vipaji ya vijana. Wazee kama Tundu Lissu hawataathirika

    Moja ya sera ambayo imekuwa ikipigiwa kelele na kambi ya Tundu Lissu ni ya kuweka muda wa ukomo wa viongozi wa chama cha siasa cha chadema. Kwamba kiwe ni vipindi vya miaka mitano mitano vizivyozidi viwili. Ukiitafakari sera hiyo utagundua kuwa kiuhalisia wenye umri kama wa Tundu Lissu, sera...
  6. Lissu akiri kushiriki kuondoa ukomo wa Uongozi katika Katiba ya CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameulizwa kuhusu ushiriki katika kuondoa ukomo wa muda wa uongozi katika Katiba ya chama hicho. Pia, Soma: - Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa...
  7. Pre GE2025 Ezekia Wenje: Msimshangae Mbowe, mbona Nyerere alikaa Madarakani muda mrefu zaidi

    Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwalimu Julius Nyerere alihudumu madarakani kwa muda mrefu zaidi kuliko Freeman Mbowe. Pia, Soma: - Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa' - Wenje: Mwaka 2020 tulimpitisha Lissu kwenye Urais...
  8. N

    Adv Livino: Ukomo wa madaraka ni mwelekeo wa akili siyo maandishi

    Ukomo wa Madaraka ni Mjadala mzito katika kipindi hiki cha mchakato wa Uchaguzi wa CHADEMA. Mchokoza Mada, Mh. Tundu Lissu katika hotuba yake tarehe 12/12/2024 aliiweka vizuri sana kwa Viongozi wa Chama na Viti Maalumu (Ubunge na Udiwani). Hata hivyo Mh. Freeman Mbowe na Timu yake wanapinga...
  9. M

    Kikeke: Unasemaje kuhusu ukomo wa madaraka, Mbowe ang'aka

    Mwandishi nguli wa habari wa Kimataifa Salim KIKEKE amempiga Mbowe nyundo ya kichwa na akapatoza fahamu palepale. ****** Salim Kikeke: "Unasemaje kuhusu UKOMO wa MADARAKA" Freeman Mbowe: "Katiba yetu haizuii that means UKOMO sio tatizo kwenye DEMOKRASIA" Salim Kikeke: "Kuna kitu kinaitwa...
  10. Pre GE2025 Nashauri Wabunge wa CCM wapeleke muswada bungeni wakuondoa ukomo wa madaraka, ili Rais akataliwe katika sanduku la kura

    Kwa vile CCM huwa wanaiba agenda za CDM basi ningeshauri na hili la kuondoa ukomo wa madaraka walipeleke bungeni. Kwa vile Wabunge wanawakilisha wananchi kisha waamue kama ukomo uendelee au usiendelee. Na pia katika ajira Serikali isogeze muda wa kustaafut na kua miaka 68 kwa sababu miaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…