Maagano ya Ukoo Yalitoka Wapi
Chanzo cha maagano ya ukoo kwa kifupi
Katika biblia, Yohana 8:36 inasema, “Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli”
Hebu tujiulize, ni kwa nini Bwana Yesu alipokuwa anakata roho pale msalabani, alisema neno moja tu. Alisema “imekwisha” (Yohana 19:30)...