ukoo

Odesa International Airport (Ukrainian: Міжнародний аеропорт «Одеса») (IATA: ODS, ICAO: UKOO) is an international airport of Odessa, the third largest city of Ukraine, located 7 km (4.3 mi) southwest from its city centre.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukoo wa Kivuruga wapewa barabara Tabora

    UKOO WA KIVURUGA UMEPEWA BARABARA TABORA Katika moja ya koo maarufu Tabora ni ukoo wa Kivuruga. Ndugu wawili Maulidi na Abdallah Kivuruga ni watu waliokuwa mashuhuri Tabora mjini katika siasa na harakati za kupeleka mbele Uislam. Wananchi wa Tabora katika mradi wa Anuani na Makazi wametumia...
  2. Tukutane hapa ambao majina yetu ya mwanzo yamekosa umaarufu kabisa, tumebaki kuitwa majina ya ukoo ama ya utani,

    Kwangu mimi jina langu la mwanzo limekosa umaarfufu kabisa, ni jina ambalo lipo kwenye vyeti tu na vitambulisho. Jina langu la ziada ni la kijijini lakini hili halipo kwenye cheti cha kuzaliwa Shule ya msingi nimeitwa jina la ukoo Sekondari nimeitwa jina la ukoo mtaani na nyumani naitwa jina...
  3. R

    SoC02 Mtaala wa elimu Tanzania ni Ukoo wa babu

    Napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia afya njema pia kukupa nafasi ya kufuatilia matini yangu kikamilifu Pia shukran zangu za dhati nazielekeza kwa waasisi wa dawati la jamii forum stories of change baada ya hapo twende pamoja katika mada yetu ya ukoo wa babu... LEO TUNAGALIE KATIKA NYANJA...
  4. Watu 20 wa Ukoo mmoja wafariki kwa ajali ya Mashua Pakistan

    Miili 20 imeopolewa na na takriban watu 30 hawajulikani walipo baada ya mashua iliyokuwa imebeba zaidi ya watu 100 wa ukoo mmoja kupinduka kwenye mto katikati mwa Pakistan. Boti hiyo iliyojaa mizigo ilikuwa ikielekea katika harusi ya kifamilia ilipopinduka katika Mto Indus katika wilaya ya...
  5. Ukoo wetu wote ni masikini. Naombeni ushauri Nawezaje kukata huu mnyororo wa umaskini?

    Familia yetu yote hakuna mwenye unafuu wa kiuchumi. Nikaangazia macho ndugu wa baba na mama, na wao wote ni masikini sana. Nikafuatilia historia ya mababu na wao walikuwa mafukara kabisa. Nina shahada ya kwanza ila ninakaribia kumaliza mwaka tangu nimalize chuo lakini sijawahi kuifanyia kazi...
  6. Kuishi miaka mingi ni ishu ya Asili ya ukoo wenu

    Kwema Wakuu! Kila ukoo unasifa zake. Unabaraka zake. Wapo waliobarikiwa Sura nzuri, wapo waliobarikiwa urefu, nguvu na wengine Akili. Pia wapo waliobarikiwa kuwa na uzao mwingi. Wapo waliobarikiwa asili ya Utajiri. Na wengi asili Yao ni umasikini. Kila kitu kinaenda Kwa Mkondo. Kitu pekee...
  7. Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  8. B

    Hongereni CHADEMA, mnaishi kama familia kwenye shida na Raha; CCM ukipata janga unaondolewa kwenye ukoo

    Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali chama, mke wa mtuhumiwa kafika mahakama wamemchangia nauli, wakati watuhumiwa wanaondoka saa kumi na...
  9. Nipeni ufafanuzi juu ya majina ya ukoo yanayoanza na "Mwa" kutumika Mbeya, Njombe na Iringa

    Hapo zamani kila mtu ambae jina lake lilianzia "Mwa" nilidhani ni mnyakyusa, ila baada ya muda nikajua kwamba watu wenye haya majina wamesambaa makabila mengi ya Mbeya, Iringa na Njombe Wanyakyusa wapo kina Mwakyusa, Wahehe wapo kina mwakatundu (mfano msanii mike tee) Wabena wapo kina...
  10. R

    Mitoto unaihangaikia peke yako ikifika ukubwani inaenda kutafuta ukoo wao...

    Hii kauli nimeisikia jana akilalama mama mmoja katika mazungumzo na wenzie kibarazani. Anadai ametunza mtoto peke yake kwa mahangaiko makubwa, kamsomesha kwa tabu kwa pesa za kuokoteza kwenye vigenge, upatu na misaada ya kaka zake. Lakini ameshangaa sana mtoto alipomaliza chuo na kuanza kupata...
  11. Utawala wa Ki-ndugu na Ki-Ukoo unaitafuna Tanzania

    Kama tunataka maendeleo lazima tuondoe utawala wa kindugu ndugu katika taifa letu. Haya Mambo hayakufanyika Nyerere akiwa Rais baada ya kufa tu ndio yalianza!! Kwani mnafikiri yeye alishindwa kumteua mkewe kuwa Waziri? Lakini alifuata maadili ya kiuongozi. Baada ya Kufa wakaanza kupeana...
  12. UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

    Salaam wapendwa katika Malaika wa Mungu na Mungu Mkuu mwenye nguvu. Wengi wamekuwa wakiniuliza Sana kuhusu ubini wa KISANDU inbox, naomba leo ni jibu. Baba yangu Mzazi alipoondoka kurudi kwao Marekani alinikabidhi kwa rafiki yake Abdalah Kisandu pale Kahama, SHINYANGA na hivyo Ukoo wa Abdalah...
  13. Kwanini ukoo wako ni masikini?

    Unmaskini unarithishwa? Unaweza kukomaa bila mafanikio kumbe kuna madesa ya jadi uliyoaminishwa kimyakimya (subliminally) yanakuvuta shati. Mfano, moja ya ukoo nilioufuatilia 1: Ukiwa tajiri utalogwa hadi uwe kama wenzako 2: Waliofanikiwa kidogo wanastrago kuhakikisha kila mwana ukoo...
  14. Jinsi mizimu ya ukoo ilivyonifanyisha Mambo ya kustaabisha baada ya kukataa kupokea mikoba ya waungwana.

    Mwaka 2005 nikiwa nimezama kwenye imani kali ya ulokole, hapo nikiwa kiongozi wa Ukwata na pia kiongozi wa kiroho kwa vijana wa mtaani kwetu (nilikuwa napita majumbani, naongea na wazee waniruhusu niwafundishe maadili mema watoto wao ikiwemo kazi za nyumbani na za kitaaluma). Kutokana na tabia...
  15. Ni nini kinachopelekea ukoo kuwa na nguvu na ukoo mwingine kukosa nguvu kwenye jamii zinazotuzunguka?

    Nimelifatilia hili kwa muda mrefu baada ya kuona watu wanavyolalamika na kuteseka haswa wakati wa matatizo ; ugonjwa, kukosa udhamini, kutafuta mtaji nk Naleta hoja hii ili tupate kurekebisha kwa pamoja kuanzia ngazi za familia, ukoo, jamii mpaka nchi kwa ujumla. Karibuni wakuu.
  16. K

    Majina ya ukoo hayana wamiliki

    Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao. Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote . Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni...
  17. Ianzishwe Simba halisi, Mo Dewji abaki na Simba yake ya ukoo

    Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojificha zinaonekana hadharani. Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, timu ambayo ipo ligi kuu au imepanda inunuliwe kwa bei chee ibadilishwe jina, Mwamwedi abaki na simba yake ya kunyanyasa wafanyakazi. Kuhusi Pesa...
  18. Ushawahi kupost bahati mbaya picha au video ya ngono kwenye group la familia au ukoo?

    Yaaani unatamani kuvunja simu lakini ndio huwezi yaaani unabaki kuleft tu.
  19. K

    Mke wangu ndiye ukoo wangu, ndugu huna nyongeza yoyote

    Niende kwenye hoja, kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisoma vyuo vya ndoa. Ninavyojua mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote kuna siku mnatofautiana. Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya sara siyo lika lako mara ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…