HIvi nyie Watu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) hapa Tabora huwa mnachukuliaje Wananchi? Tangu wiki iliyopita Kata ya Mwinyi hakuna huduma za maji na hata yanapotoka yanakuwa machafu na yanatoka kwa muda mfupi, mnataka Watu tuishije!
Mwinyi iko Manispaa ya Tabora...
14.7.2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha Maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji siku ya Jumanne Julai 16 ,2024 kwa muda wa saa 15 kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 3 usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.