HIvi nyie Watu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) hapa Tabora huwa mnachukuliaje Wananchi? Tangu wiki iliyopita Kata ya Mwinyi hakuna huduma za maji na hata yanapotoka yanakuwa machafu na yanatoka kwa muda mfupi, mnataka Watu tuishije!
Mwinyi iko Manispaa ya Tabora...