Wakuu salam,
Chalamila ameelezea kinachopelekea ukosefu wa maji kwa wakazi wa mkoa wa Dar katika ziara ya Majaliwa wilaya wa Temeke iliyoanza leo Oktoba 5, 2024.
"Mahitaji ya maji katika mkoa wa Dar kwa siku ni mita za ujazo laki sita na themanini na tano sawa na lita milioni sit ana themanini...