Kama kichwa kinavyosomeka hapo Kwa Sasa Nina pata shida ya usafiri kuwakabili Machadema huko mtaani.
Sasa mama akirekebisha Dola ikifika Tsh.2000/$1 nistueni Kwa kunitag ,kunii mention Ili Niagize Passo Yangu ya kusumbulia watu Mkoani ππππ...