Ni huduma yenye uwezo wa kuponya ukosefu wa internet vijijini, maporini, milimani, ziwani, n.k. ukizingatia kwamba makampuni ya mitandao ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya mbali.
Kwa mara ya kwanza walikuja Tanzania bila mafanikio, waziri wa kipindi hicho Nape Nnauye alitoa...