Nimetembea karibia mikoa yote Tanzania,hali ni ile ile,ukosefu wa mvua.
Mikoa yenye mvua za wastani nchini ni Dar,Kigoma,Kagera,pamoja na Lukwa,kingine ni tia maji tia maji tu.
Kwa upande wa kilimo cha mpunga wakulima wameandika hamna. Mahindi ni kwa wale waliowahi kulima,ila wale wenzangu na...