Katika kesi inayotarajiwa kufunguliwa na Mpina, natarajia kuona wanasheria wengi nchi hii mkijitokeza (kwa kujitolea) kumsaidia ili kuonesha uchungu ktk kuipigania haki hapa nchini.
Wanasheria acheni kujiweka nyuma, kwa kujifanya waungwana ili kutengeneza mazingira ya kutafuta teuzi.
Wenzenu...
Naomba tutafakari nani genius kati ya hawa;
Mh. Mpina vs Mh. Bashe
Au kati ya;
Mh. Tulia vs Mh. Mpina.
Uwanja upo wazi. Pesa mbaya!
====
Pia soma:
Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili
Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge...