Kwa Mwezi Februari 2025, vyombo vya habari vilivyo vingi binafsi naona vimeendeleza kukibeba chama tawala huku vikigandamiza vyama vingine katika usawa wa kuripoti matukio ya kisiasa. Kuna baadhi ya vyombo kama Wasafi vilifikia kubrand magari yao kwa rangi za CCM, vilipohudhuria mkutano mkuu wa...
Taarifa ya Kwanza iliyochapishwa na Mwananchi tangu kufungiwa
Wakuu,
Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha.
Bado najiuliza ni zile video tu ndio zilikuwa chanzo au lilikuwa onyo kwa wengine kuufyata, kugeuza shingo pembeni na kuwa kasuku kipindi...
Uwepo wa hofu na uoga umetajwa kuwa sababu ya vyombo vya habari nchini kushindwa kutekeleza majukumu yake na hivyo kugeuka vyombo vya habari vya propaganda na kuishia kuwasifu viongozi.
Waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza hayo kwenye uzinduzi wa Ripoti ya Hali ya Vyombo vya Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.