Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema atautumia mkutano wake unaotarajiwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kupima mawazo ya kiongozi huyo kuhusu namna ya kumaliza mzozo wa Ukraine.
Viongozi hao wawili wanatarajiwa kukutana Ijumaa ya wiki hii nchini Marekani, ikiwa ni mara ya kwanza kwao...