Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametangaza kuwa mazungumzo kati ya Ukraine na Marekani yatafanyika Saudi Arabia wiki ijayo, akielezea matumaini kuwa mkutano huo utakuwa na maana katika juhudi za kusaka amani ya kudumu.
Zelensky hatahudhuria mazungumzo hayo lakini amesisitiza kuwa Kyiv...
Rais Donald Trump ameagiza kusitishwa kwa usafirishaji wa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine baada ya mvutano mkali kati yake na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, wiki iliyopita katika Ikulu ya White House, afisa wa Ikulu ameiambia CNN Jumatatu.
Hatua hii, iliyokuja baada ya Trump...
Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika 😭😭😭
Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima ndani ya machafuko yao, na wana-manage kusafirisha mazao yao ya kilimo na kuilisha Afrika, na hasa...
Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!
Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na...
Habari za jioni Great thinkers!
Kwanza kabisa napenda kusema kwamba mimi si mtaalamu sana wa maswala ya silaha,sio mwandishi mzuri makala.
Baada ya jana au juzi hivi Russia kufanya mashambulizi ya kule Ukraine na kuona jinsi ambavyo silaha mpya ya Russia inavyo hit target kuna mambo mengi...
Chanzo cha picha: Getty Images
Maelezo ya picha,Kyiv hapo awali iliweza tu kutumia makombora hayo ndani ya mipaka yake. Ukraine imerusha makombora ya Storm Shadow yanayotolewa na Uingereza kulenga shabaha ndani ya Urusi kwa mara ya kwanza, BBC imeelezwa.
Nchi hiyo inayokumbwa na vita hapo...
Kuna mtu katolewa chambo
---
Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga.
Onyo hilo la shambulio, linakuja baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kuipa Ukraine idhini ya kutumia...
Raisi wa nchi ya Marekani Joe Biden amepanga kutoa mabilioni ya dollar kwajili ya masuala ya kijeshi huko nchini Ukraine kabla hajaachia ngazi rasmi mwezi January. Hii inakuja huku kukiwa na mkanganyiko kutokana na matamshi ya Donald Trump ambaye mara kadhaa kwenye kampeni zake alikuwa akikosoa...
Sera ya MAREKANI ni ileile.
1) Ulinzi wa Israel
2) Ulinzi wa western Europe
3) NATO
4) Middle East
5) Far East
Kila kiongozi wa MAREKANI anahakikisha anatimiza hizo Sera.
Wanatofautiana misimamo tu.
Kwa hiyo tusidanganyike eti Trump atamaliza Vita ya Ukraine, hapana. Ni uongo. Ukraine na...
Wanaume waliokwepa kujiunga na programu ya Jeshi na kwenda klabu kula bata huko Ukraine wamekutana nacho baada ya Jeshi la Nchi hiyo kuanzisha msako wa kuwakamata Wanaume wote waliokwepa programu hiyo kwenye kumbi za starehe, matamasha ya Muziki, sehemu za manunuzi, migahawa na maeneo ya Umma...
Baada ya shambulio kali la Urusi kuua idadi kubwa ya askari kuruta wa Ukraine kwenye jimbo la Donest,leo raisi Putin wa Urusi ameweka wazi kuwa wamekuwa wakisonga mbele kwa kasi kuelekea kushika miji muhimu ya Donbas kutokana na kutokuwepo kwa upinzani wa askari wa Ukraine.
Wiki tatu zilizopita...
Zaidi ya Mwanamgambo 600 wa Ukraine waliokua katika shule yaafunzo ya Kijeshi wameuwawa baada ya Shambulio la Iskender toka Russia
Kulingana na aliyekuwa mbunge wa Ukraine, Igor Mosiychuk (ambaye anachukuliwa kuwa gaidi na mhalifu na Urusi), jeshi la Ukraine limepoteza zaidi ya wanajeshi 600...
Ukraine Yasema Imejaribu Kombora Jipya la Ndani
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa nchi yake imefanikiwa kufanya jaribio la kwanza la kombora jipya lililotengenezwa ndani ya nchi. Ukraine inajulikana kuwa na angalau kombora moja la masafa mafupi, Hrim-2, ambalo lipo katika hatua...
Mimi sio muumini wa vita ya uvamizi,lakini nipende kukiri kuwa Syria iliishi kinyonge mno kuliko Ukraine inavyojipambanua katika vita hii kati ya Russia na Ukrain.
Kila nikiwa katika kazi zangu za kila siku nikikumbuka vibaka wa kariakoo wanavyochomwa moto wa petroli na kusahau kuwa kumbe...
Raisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa kutaja idadi ya wanajeshi wake wanaolamba mchanga kila siku vitani.
Majibu ya Zelensky Yalikuw kama...
Wanachama wa Nato wameahidi kuunga mkono "njia isiyoweza kutenguliwa" kwa uanachama wa siku zijazo wa Ukraine, pamoja na misaada zaidi.
Wakati ratiba rasmi ya kujiunga na muungano wa kijeshi haikukubaliwa katika mkutano wa kilele huko Washington DC, wanachama 32 wa muungano huo wa kijeshi...
Hizi nchi za NATO tangu vita imeanza wamekua wakitoa silaha na fedha kwaajili ya Ukraine kupambana na Russia 🇷🇺. Leo wametangaza kupeleka ndege vita za kisasa F 16 lakini tuelewe kuwa Ukraine anazo mig ambazo ni Su version ya mrusi na Russia amekua akizilipua na kupiga miundo mbinu ya Ukraine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.