"Kwenye suala la Bunge, Bunge letu ni kubwa ukilinganisha na wafadhili wetu (Marekani inatufadhili, India inatufadhili nk), sisi Tanzania tuna watu milioni 60+, Marekani ina watu milioni 350+ lakini Bunge lake lina watu 535 Kwa maana ya kwamba Mbunge mmoja wa Marekani anawakilisha watu karibu...