ukulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Imekuwaje kuwaje vibinti huko mitandaoni ghafla vimegeukia ukulima na vipicha mashambani. Ni Show off tu au ndie ile "biashara matangazo"?

    "Strange are the ways of human behavior" by Orson Bean
  2. S

    Tuwacheni masikhara, ukulima tulio nao bado ni cha mtoto

    leo nimeguguli na kuangalia huko ulimwenguni kilimo kinavyofanyika, kwa kweli ni hatari, kuna ukilimo wa hali ya kiwango cha juu sana na tutahitaji karne ili kuwafikia na kuufikia ulimaji wa kisasa. hapa ni kudanganyana tu ,mara madawa,mara mbegu bora, kusema kweli hatuna lolote la maana ni...
  3. Ukulima wa kisasa katika picha

  4. Ushuhuda wa Mkulima Rais Samia awezesha ukulima wenye tija

    GTs, Leo ikiwa siku ya dominika murua kabisa nimeamka zangu jijini nikiwaza hili na lile na nikitafakari namna maisha yavyoenda. Nikiwa nawaza mara paap simu ya mkulima toka vijiji vya mbaali kabisa, nikapokea simu. Mkulima …Halooo ChawaWaMama … Ndiyo habari za leo? Mkulima… Nzuri mno, za...
  5. Vijana tokeni Kariakoo nendeni kijijini mkalime

    Vijana wenzangu nipo hapa kuwapeni ushauri, jembe halimtupi mkulima shida yenu mpo dar kuokoteza miamia mnaacha kutumia fursa za ardhi yetu yenye rutuba. Huu ni msimu wa mvua njooni mashambani mlime. Kuna mapori kibao katavi huko. Ukilima ufuta, mahindi na arizeti hutajuta. Sasa mpo tu mjini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…