Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KMICC) kati ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma...