Katika Kitabu cha Matendo ya mitume 13:6 tunasoma;
"Basi, Barnaba na Saulo walipokwisha tumwa na Roho Mtakatifu, walishuka hadi Seleukia, na kutoka huko walipanda meli hadi kisiwa cha Kupro (Cyprus) Walipofika Salama walihubiri neno la Mungu katika masinagogi ya Kiyahudi. Yohane alikuwa...