Wakuu wa JamiiCheck naomba kufahamu uhalisia wa hili kwamba ukungu unaweza kuathiri mazao na kupunguza kiwango cha uzalishaji. Huwa naona shambani majani ya mimea inaungua nikuliza wenzangu wananiambia ni ukungu je, ni kweli?
Wale msiojua mnaoingia asala Kila wakati kununua taa za gari ako, mkombozi amepatikana ,
Okoa ghalama za kununua headlight hadi lakin tatu nakuendekea Kwa sh elf 30 tuh!
Hii huduma yakuondoa ukungu kwenye gari ako utafanyiwa popote ulipo ndani ya dar tucheki WhatsApp 0767603688
Na ukiitaji...
Ukungu unaotokea juu ya maji kwa kawaida hujulikana kama ukungu wa baharini au ukungu wa ziwa. Inatokea wakati hewa ya joto na unyevu inapita juu ya maji baridi zaidi. Ukungu wa bahari au ziwa unaweza kutokea juu ya Bahari ya Atlantiki na Pasifiki, Ghuba ya Mexico, Maziwa Makuu na miili mingine...
Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu,
Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+
Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022...
Hii ni kwa wale walioko Arusha Mjini, na taa za magari yao zina ukungu au zimepauka.
Tunang'arisha taa hizo kwa kutumia kifaa maalum na kuzirudishia mng'ao wake kwa gharama nafuu kabisa.
Tupigie kwa simu namba 0621 846107 (call/WhatsApp).
Huna haja ya kutembelea taa isiyomulika vizuri kwa...
Ndugu zangu,
Kuku wangu wamekumbwa na tatizo la ukungu kwenye macho yao. Jicho alivimbi ,muda mwingi analifumba. Rangi ya kile kiini cheusi cha jicho kinakuwa kama kina ukungu.
Je, nitumie dawa gani?
Wadau,
Nyumba nyingi zinathriwa na kuta kubanduka sbb ya chumvi na fungus. Nasigia kunadawa ya kupaka kabla ya kupiga rangi.
Je, ni dawa ipi hiyo? Je, mikoani kama inapatikana?
Tupeane ushauri.
Jamani kuna watu wanajisahau sana mtu unakuta ndoo ya kiogea mpaka imekua na rangi isiyoeleweka.
Unakuta mwingine ndio anadekia hiyo hiyo na haioshi mpaka inaweka ukungu, anaoga tu haoshi wala nini. Tukumhuke usafi wa ndoo za kuogea jamani.
Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizuri kabisa nimeenda nayo hadi sehem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.