Nadhani Gerson Msigwa aanze kupima utendaji wa sektretariat za habari kwa kuangalia social media engagement. Na wakifanya hivyo, Makao Makuu ya Idara ya Habari (Maelezo) iwe inapewa taarifa
Imagine. Ukurasa rasmi wa ofisi ya mkuu wa mkoa (Instagram page) hauna habari yoyote iliyowekwa tangu...
Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo.
Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu.
Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo sitautaja kwa jina ila wenyewe unahusu kupeana ushauri, maono na kwa kiasi kidogo kutafuta mwenza awe...
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Direct, Jana katika pita pita zangu Instagram nikakutana na page jamaa anauza vifurushi bei chee sana, moyoni nikasema hapa hapa nitaokoa gharama za pesa kununua bando la internet.
Kumbe sikujua nipo kwenye mdomo wa mamba hatimae Nilijipeleka...
Nakusihi utumie muda wako kujielimisha kupitia mahojiano haya kwenye video hapa chini ambayo Zuby (gwiji aliyepata kumhoji Elon Mask) anamhoji Loay Alshareef, msaudia aliyezaliwa na kukulia Saudia ila kwa sasa amefanya makazi yake Abbudhabi, UAE.
Highlights za mahojiano
Zuby akiwa mtoto wa...
Mwenyewe ukurasa wowote wa mtandao wa kijamii wa nguri wa Dunia wa utajiri namba 1 wa huyu mwamba anisaidie. Kuna vitu vya kujifunza kwa huyu jamaa asanteni.
Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn
https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554
Hii ndio video iliyowekewa vizuizi (nimetunza nakala)
Ni aibu timu kubwa kama Simba kuruhusu account zenye maadili mabovu ya picha za utupu na ngono katika comments. Simba ni timu inayoheshimiwa ndani na nje ya Nchi. Kuna watu wenye hadhi zao ni washabiki wa simba kama viongozi wa serikali, viongozi wa dini, wanafunzi wa chuo, shule nk. Inakuwaje...
Ukifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements.
Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi ya CAF CL hakuna iliyoongoza kama uya Wananchi
Hivyo mkiambiwa kuwa siye ni watatu kwa Afrika...
Ukiangalia watu wanaliofanya na kushangilia mapinduzi kule Burkina Faso, Mali na Niger ni vijana ambao sanduku la kura limeshindwa kuwapatia viongozi wanaowachagua. Chaguzi zetu zinafadhiliwa na wakoloni wetu wa zamani kwa manufaa yao.
Chaguzi zetu ni mwanya wa kupenyeza mamluki kwenye uongozi...
Wachambuzi wetu ni low profile, tuwasaidie kuwaandalia ajenda. Mayelle aliletwa Yanga na viongozi wa Yanga, kabla ya kuletwa Yanga alikuwa hatambuliki na wachambuzi wetu. Mayelle alikuwa na kipaji kilichonolewa na Nabi sawa na Fei Toto na wachezaji wengine pale Yanga ambao kabla ya kuja Yanga na...
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (BoZ) aliyethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo, amewataka Wananchi kutojibu ujumbe wowote utakaotumwa kutoka kwenye akaunti hiyo hadi hapo Umma utakapoarifiwa kurejeshwa kwake.
BoZ imesema "Tunasikitika kuufahamisha umma kuhusu tukio la...
Kwanza nitangulize samahani na pia wasinichukulie vibaya wahusika wa jamiiforums.
Kikubwa ni kutaka kujua ni kivipi mimi naweza kufaidika na kuwa katika huu ukurasa je kuna reward yoyote naweza pata au kitu chochote ambacho kinaweza kunivusha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo.
Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa) Kwa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, na watendaji.
Vyama vyote viwili vinashabiiana...
Najua wazi viongozi wengi wa kisiasa wana vijembe sana. Wapo niliowahi kukutana nao na kushuhudia mwenyewe majibu yao yasiyo na staha. Lakini linapokuja suala la maadili, ifike mahali tuambiane ukweli.
Kwa majibu haya ya kejeli nina wasiwasi na anayetoa majibu hayo. Ni yeye kweli au kuna mtu...
Habari za pasaka ndugu wanajukwaa wakati wengine wakiendelea na swaum nawaambia kazi iendelee.
Ninapendekeza ofisi ya Rais Ikulu kupitia kurugenzi ya mawasiliano wawe na ukurasa wao hapa kama kule instagram ili wanajukwaa wajue kinachoendelea hasa teuzi na tenguzi.
Aidha habari za PCCB na...
Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo
Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana
Dar es salaam
Dodoma
Mwanza
Arusha
Kilimanjaro
Mbeya
Uliza maswali yako yanayohusu magari ya kukodisha,trips,gharama,ushauri wa...
Ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland umekuwa ukisambaa mitandaoni ukiwa na kichwa kinachosema "Rais Samia aongeza matumaini mapya kwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Scotland na Tanzania,"
Gazeti hilo linalosomeka kuwa ni toleo la 1 Novemba 2021 la gazeti la kitaifa la...
Habari wote JF members,
Nimeona nifungue uzi kutoka uzi mmoja na huu ujitegemee.
Saivi watu wanaishi kwa bajeti kali no shopping kizembe zembe Tsh.10000 ndio buku 2000 ya 2015. Uhalisia uko hivo jero ishakuwa mia 200 afu malipo ya kazi ni yale yale. Daah walio ajiriwa kwa mishahara midogo daah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.